Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Juni 24,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 707.61 na kuuzwa kwa shilingi 714.49 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 166.75 na kuuzwa kwa shilingi 168.23.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Juni 24, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.48 na kuuzwa kwa shilingi 0.49 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2777.69 na kuuzwa kwa shilingi 2806.52.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1731.22 na kuuzwa kwa shilingi 1748.76 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3423.76 na kuuzwa kwa shilingi 3458.00.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 20.30 na kuuzwa kwa shilingi 20.35 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.39 na kuuzwa kwa shilingi 1.49.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.67 na kuuzwa kwa shilingi 0.69 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.90 na kuuzwa kwa shilingi 0.91.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2598.64 na kuuzwa kwa shilingi 2624.63 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8472.64 na kuuzwa kwa shilingi 8550.39.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3384.68 na kuuzwa kwa shilingi 3318.58 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.95 na kuuzwa kwa shilingi 2.02.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1897.79 na kuuzwa kwa shilingi 1916.21 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2911.32 na kuuzwa kwa shilingi 2939.11.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 246.73 na kuuzwa kwa shilingi 249.13 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 145.16 na kuuzwa kwa shilingi 146.57.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today June 24th,2024;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED707.6145714.4961711.055324-Jun-24
2ATS166.755168.2326167.493824-Jun-24
3AUD1731.21631748.7911740.003724-Jun-24
4BEF56.881857.385357.133524-Jun-24
5BIF0.90040.90730.903924-Jun-24
6BWP192.5595195.01193.784724-Jun-24
7CAD1897.78981916.20791906.998924-Jun-24
8CHF2911.31932939.11532925.217324-Jun-24
9CNY357.9103361.4795359.694924-Jun-24
10CUC108.2768109.3596108.818224-Jun-24
11DEM1041.24841183.59861112.423524-Jun-24
12DKK372.5387376.2425374.390624-Jun-24
13DZD19.362619.47619.419324-Jun-24
14ESP13.79113.912713.851924-Jun-24
15EUR2777.69012806.51692792.103524-Jun-24
16FIM385.9219389.3417387.631824-Jun-24
17FRF349.8113352.9057351.358524-Jun-24
18GBP3284.68553318.58223301.633824-Jun-24
19HKD333.0313336.3573334.694324-Jun-24
20INR31.111831.402231.25724-Jun-24
21IQD1.98522.0021.993624-Jun-24
22IRR0.06190.06250.062224-Jun-24
23ITL1.18511.19561.190324-Jun-24
24JPY16.346816.509216.42824-Jun-24
25KES20.301920.34620.323924-Jun-24
26KRW1.87091.88911.8824-Jun-24
27KWD8472.64058550.39748511.51924-Jun-24
28MWK1.39261.49891.445824-Jun-24
29MYR551.729556.5373554.133224-Jun-24
30MZM40.673741.016340.84524-Jun-24
31NAD145.1578146.5733145.865624-Jun-24
32NGN1.75581.69331.724624-Jun-24
33NLG1041.24841050.48231045.865324-Jun-24
34NOK246.2726248.6764247.474524-Jun-24
35NZD1592.44881609.42311600.935924-Jun-24
36PKR8.86439.42089.142524-Jun-24
37QAR713.0316719.7669716.399224-Jun-24
38RWF1.95392.02521.989524-Jun-24
39SAR692.7315699.6215696.176524-Jun-24
40SDR3423.76383458.00143440.882624-Jun-24
41SEK246.7309249.1343247.932624-Jun-24
42SGD1920.08541938.14061929.11324-Jun-24
43TRY79.101579.868279.484924-Jun-24
44UGX0.66610.6990.682624-Jun-24
45USD2598.64362624.632611.636824-Jun-24
46GOLD6141348.34926203496.72916172422.539224-Jun-24
47ZAR145.1562146.575145.865624-Jun-24
48ZMK99.0446102.9267100.985624-Jun-24
49ZWD0.48630.49610.491224-Jun-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news