Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Juni 5,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 19.79 na kuuzwa kwa shilingi 19.84 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.38 na kuuzwa kwa shilingi 1.49.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Juni 5, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.65 na kuuzwa kwa shilingi 0.68 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.89 na kuuzwa kwa shilingi 0.90.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2583.29 na kuuzwa kwa shilingi 2609.12 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8434.39 na kuuzwa kwa shilingi 8515.96.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3296.27 na kuuzwa kwa shilingi 3330.28 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.97 na kuuzwa kwa shilingi 2.02.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1889.06 na kuuzwa kwa shilingi 1907.81 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2893.47 na kuuzwa kwa shilingi 2921.09.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 246.94 na kuuzwa kwa shilingi 249.36 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 138.45 na kuuzwa kwa shilingi 139.82.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 703.39 na kuuzwa kwa shilingi 710.25 hukumu Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 165.77 na kuuzwa kwa shilingi 167.24.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.48 na kuuzwa kwa shilingi 0.49 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2807.29 na kuuzwa kwa shilingi 2835.85.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1715.82 na kuuzwa kwa shilingi 1734.28 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3418.49 na kuuzwa kwa shilingi 3452.67.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today June 5th;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED703.3946710.2352706.814905-Jun-24
2ATS165.7696167.2384166.50405-Jun-24
3AUD1715.81931734.28211725.050705-Jun-24
4BEF56.545657.046256.795905-Jun-24
5BIF0.89530.90330.899305-Jun-24
6CAD1889.05831907.80931898.433805-Jun-24
7CHF2893.46672921.09272907.279705-Jun-24
8CNY356.9654360.4504358.707905-Jun-24
9DEM1035.09521176.60431105.849805-Jun-24
10DKK376.4078380.1498378.278805-Jun-24
11ESP13.709513.830513.7705-Jun-24
12EUR2807.25812835.85252821.555305-Jun-24
13FIM383.6413387.0409385.341105-Jun-24
14FRF347.7442350.8202349.282205-Jun-24
15GBP3296.27443330.28083313.277605-Jun-24
16HKD330.6481333.9417332.294905-Jun-24
17INR30.953531.242531.09805-Jun-24
18ITL1.17811.18851.183305-Jun-24
19JPY16.685816.851516.768605-Jun-24
20KES19.795319.841219.818305-Jun-24
21KRW1.87871.89651.887605-Jun-24
22KWD8434.3978515.96068475.178805-Jun-24
23MWK1.38441.491.437205-Jun-24
24MYR549.6355554.6599552.147705-Jun-24
25MZM40.471440.812240.641805-Jun-24
26NLG1035.09521044.27461039.684905-Jun-24
27NOK244.3264246.7136245.5205-Jun-24
28NZD1593.62991610.87071602.250305-Jun-24
29PKR8.82469.37529.099905-Jun-24
30RWF1.9732.02461.998805-Jun-24
31SAR688.7847695.6355692.210105-Jun-24
32SDR3418.4893452.67383435.581405-Jun-24
33SEK246.9375249.3687248.153105-Jun-24
34SGD1918.66251936.12351927.39305-Jun-24
35UGX0.65180.68390.667805-Jun-24
36USD2583.28722609.122596.203605-Jun-24
37GOLD6026808.87126087859.6966057334.283605-Jun-24
38ZAR138.4547139.8197139.137205-Jun-24
39ZMW95.860399.622897.741505-Jun-24
40ZWD0.48340.49320.488305-Jun-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news