Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Juni 6,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1718.29 na kuuzwa kwa shilingi 1736.00 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3428.66 na kuuzwa kwa shilingi 3462.94.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Juni 6, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 19.89 na kuuzwa kwa shilingi 19.94 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.38 na kuuzwa kwa shilingi 1.49.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.65 na kuuzwa kwa shilingi 0.68 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.89 na kuuzwa kwa shilingi 0.90.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2586.85 na kuuzwa kwa shilingi 2611.71 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8441.12 na kuuzwa kwa shilingi 8522.74.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3204.98 na kuuzwa kwa shilingi 3339.07 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.97 na kuuzwa kwa shilingi 2.02.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1890.93 na kuuzwa kwa shilingi 1909.14 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2898.94 na kuuzwa kwa shilingi 2926.61.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 248.28 na kuuzwa kwa shilingi 250.73 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 137.01 na kuuzwa kwa shilingi 138.16.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 703.39 na kuuzwa kwa shilingi 710.98 hukumu Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 165.97 na kuuzwa kwa shilingi 167.40.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.48 na kuuzwa kwa shilingi 0.49 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2812.37 na kuuzwa kwa shilingi 2840.76.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today June 6th;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED704.1312710.979707.555106-Jun-24
2ATS165.9342167.4044166.669306-Jun-24
3AUD1718.29831736.00361727.15106-Jun-24
4BEF56.601857.102856.852306-Jun-24
5BIF0.89720.90250.899906-Jun-24
6CAD1890.93351909.14471900.039106-Jun-24
7CHF2898.93662926.61362912.775106-Jun-24
8CNY356.8069360.3601358.583506-Jun-24
9DEM1036.12271177.77231106.947506-Jun-24
10DKK377.0727380.8213378.94706-Jun-24
11ESP13.723113.844213.783706-Jun-24
12EUR2812.37212840.75692826.564506-Jun-24
13FIM384.0221387.4251385.723606-Jun-24
14FRF348.0894351.1684349.628906-Jun-24
15GBP3304.97683339.07123322.02406-Jun-24
16HKD331.1119334.4101332.76106-Jun-24
17INR31.004131.307731.155906-Jun-24
18ITL1.17921.18971.184506-Jun-24
19JPY16.563216.727816.645506-Jun-24
20KES19.891219.936719.913906-Jun-24
21KRW1.88551.90371.894606-Jun-24
22KWD8441.11618522.74518481.930606-Jun-24
23MWK1.38581.49161.438706-Jun-24
24MYR550.6498555.683553.166406-Jun-24
25MZM40.530640.871840.701206-Jun-24
26NLG1036.12271045.31121040.71706-Jun-24
27NOK244.9118247.321246.116406-Jun-24
28NZD1599.09051616.38731607.738906-Jun-24
29PKR8.83029.38129.105706-Jun-24
30RWF1.96292.02211.992506-Jun-24
31SAR689.4868696.3446692.915706-Jun-24
32SDR3428.65633462.94293445.799606-Jun-24
33SEK248.2839250.7282249.50606-Jun-24
34SGD1918.85681937.32661928.091706-Jun-24
35UGX0.65240.68460.668506-Jun-24
36USD2585.85142611.712598.780706-Jun-24
37GOLD6042850.47716104114.72916073482.603106-Jun-24
38ZAR137.0147138.1653137.5906-Jun-24
39ZMW95.662799.41897.540306-Jun-24
40ZWD0.48390.49370.488806-Jun-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news