Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Juni 13,2024

SINGIDA-Mkuu wa Mkoa wa Singida, Halima Dendego, amekataa kuzindua bweni la Wanafunzi wa kike katika shule ya Sekondari Mtekente iliyopo wilayani Iramba baada ya kubaini kuwa ujenzi wa bweni na jiko zilizojengwa chini ya kiwango.
Bweni hilo lilijengwa na kampuni inayojishughulisha na ununuzi wa pamba Biosustain mkoani humo kwa zaidi ya shilingi milioni 180 ambapo amemwagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Iramba kushirikiana na kampuni hiyo katika kurekebisha maeneo yote yenye kasoro ikiwemo sakafu.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news