DODOMA-Serikali imeliomba Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuidhinisha bajeti ya shilingi trilioni 49.35 kwa mwaka 2024/25 ili kwenda kujenga uchumi shindani na viwanda kwa maendeleo ya watu.
"Niendelee kuwasisitiza Maafisa Masuuli kuzingatia Waraka wa Mkuu wa Utumishi wa Umma Na. 2 wa mwaka 2021 kuhusu utaratibu wa kutumia magari, aina na stahili za magari kwa viongozi katika utumishi wa umma kwa lengo la kupunguza matumizi.
"Aidha, hatua nyingine zitakazochukuliwa ni pamoja na kupunguza safari za ndani na nje na kupunguza ukubwa wa uwakilishi kwenye mikutano ya ndani na nje ya nchi. Endelea hapa》》》
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo