MWANZA-Jeshi la Polisi mkoani Mwanza limemkamata aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu,Dkt.Yahaya Nawanda kufuatia tuhuma zinazomkabili za ulawiti wa mwanafunzi mmoja wa chuo kimoja jijini Mwanza.

Kamanda wa Polisi mkoani Mwanza, Wilbroad Mutafungwa ameyabainisha hayo Juni 14,2024 wakati akizungumza na waandishi wa wahabari na kudhitibisha kukamatwa kwake na kueleza kuwa wanaendelea kumhoji.

Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo