SEOUL-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt.Samia Suluhu Hassan amemteua, Prof. Abel Makubi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa iliyopo mkoani Dodoma.


Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo