Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Juni 19,2024

DAR-Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Waheshimiwa Wawakilishi wa Bunge la Congress la Marekani wakiongozwa na Mhe. Vern Buchanan, katika Ofisi ndogo za Bunge jijini Dar es Salaam tarehe 18 Juni, 2024.
Pamoja na mambo mengine, Viongozi hao wamejadili kuhusu namna ya kuendeleza ushirikiano na mahusiano bora ya kibunge baina ya Tanzania na Marekani kwa maendeleo ya wananchi wa nchi hizo mbili.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news