Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Juni 3,2024

JAKARTA-Juni 2,2024 Taifa Stars ambayo ni timu ya Taifa ya Tanzania imetoka sare ya bila mabao na wenyeji Indonesia katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Madya Gelora Bung Karno jijini Jakarta.















Hiyo ni sehemu ya maandalizi ya mchezo wa Kundi E kufuzu Kombe la Dunia 2026 dhidi ya wenyeji, Zambia Juni 11,2024 Uwanja wa Levy Mwanawasa mjini Ndola, Zambia.

Wapinzani wengine wa Taifa Stars Kundi E kufuzu Kombe la Dunia 2026 ni Morocco, Zambia, Niger, Kongo na Eritrea ambayo imejitoa katika mbio za kuwania tiketi ya fainali hizo zinazoandaliwa kwa pamoja na Canada, Mexico na Marekani.






Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news