Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Juni 29,2024

DODOMA-Jeshi la Polisi Tanzania limewataka wananchi kusalimisha silaha zilizokuwa zinamilikiwa kihalali na ndugu zao ambao kwa sasa ni marehemu, ili silaha hizo zisilete madhara katika jamii kwani kuendelea kuzihifadhi nyumbani ni kinyume cha sheria na atakayepatikana akimiliki silaha hizo akikutwa na hatia mahakamani anaweza kufungwa miaka 15 jela au faini ya shilingi milioni 10 au vyote kwa pamoja.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Polisi,SACP David Misime, Soma kwa kina hapa》》》

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news