Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Juni 18,2024

KAGERA- Mtoto Asimwe Novarti mwenye ulemavu wa ngozi (Albino) aliyeibwa Mei 30 mwaka huu nyumbani kwao na watu wasiojulikana katika Kijiji cha Mbale, Muleba mkoani Kagera amekutwa ameuawa na mwili wake kufungwa kwenye sandarusi kabla ya kutelekezwa kwenye karavati.
Katibu Tawala wa Wilaya ya Muleba, Benjamin Richard Mwikasyege amesema, baada ya kuripotiwa kuonekana kwa mfuko uliokuwa umefungwa mwili wa mtoto huyo, wamekuta baadhi ya viungo vya mwili wake havipo na kwasasa mwili huo umechukuliwa kwa ajili ya uchunguzi zaidi.













Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news