Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Juni 25,2024

GEITA-Mwenyekiti wa Mtaa wa Mwatulole uliopo Kata ya Buhalahala wilayani Geita Mkoa wa Geita, Noel Kajji (40) ameuawa na watu wasiojulikana kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali sehemu za kichwani, shingoni na mikononi.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Safia Jongo amethibitisha tukio hilo mbele ya waandishi wa habari mjini Geita na kueleza lilitokea Juni 23, 2024 majira ya saa mbili usiku nyumbani kwake.

Amesema,siku ya tukio wauaji walifika nyumbani kwa marehemu kama wananchi wa kawaida wakihitaji huduma kwa mwenyekiti na aliwapa ushirkiano, kisha wakatekeleza uovu huo.



Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news