Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Juni 17,2024

DAR ES SALAAM-Serikali imewataka wale wote waliovamia eneo la NSSF lililopo eneo la Toangoma Mtaa wa Malela Wilaya ya Temeke kuondoka katika eneo hilo,na kwamba haitaruhusu mtu kupora haki ya mtu mwengine, hayo yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sixtus Mapunda.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news