Chuo cha Ustawi wa Jamii (ISW) kinakaribisha maombi ya kujiunga na tahasusi zifuatazo zitakazotolewa katika mwaka wa masomo 2024/2025 katika Kampasi za Dar es Salaam na Kisangara, Mwanga, Kilimanjaro.
Basic Technician Certificate
1. Social Work (Both Campuses)
2. Business Administration
3. Labour Relations and Public Management
4. Human Resource Management
5. Community Work with Children and Youth
6. Early Childhood Care and Development (Kisangara Campus)
Ordinary Diploma
1. Social Work (Both Campuses)
2. Business Administration
3. Labour Relations and Public Management
4. Human Resource Management
5. Community Work with Children and Youths
6. Early Childhood Care and Development (Kisangara Campus)
Fanya maombi kupitia Mfumo wa maombi ya mtandao (OAS) kiungo: oas.isw.ac.tz au kupitia tovuti ya Taasisi www.isw.ac.tz, na ulipe ada isiyoweza kurejeshwa ya Tshs. 10,000/= kwa Watanzania au USD 30.00 kwa wasio Watanzania.
Kwa maelezo zaidi, tafadhali tembelea tovuti ya Taasisi www.isw.ac.tz au Piga simu: 0677 111200, 0716121096(Kisangara) au 0735509090.