Jiepusheni na mwenye hizi namba ni tapeli-Wizara ya Fedha

DODOMA-Wizara ya Fedha kupitia Kitengo cha Mawasiliano imewataka wananchi kujiepusha na tapeli anayetumia namba za simu 0620745694 na 0613540462 ambaye amekuwa akiwatumia wananchi ujumbe akidai ni mtumishi wa Pensheni kutoka Hazina.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news