Kombe lafika Wizara ya Fedha

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bi. Amina Khamis Shaaban (wa tano kuanzia kushoto-mbele), akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Menejimenti ya Wizara pamoja na baadhi ya watumishi wa Wizara ya Fedha baada ya kupokea Kombe ambalo Watumishi hao wameshinda katika shindano la kuvuta kamba baina yao na wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Bonanza la Bunge (CRDB-Grand Bunge Bonanza) lililofanyika hivi karibuni katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news