Mahakama ya Tanzania yawapongeza majaji walioteuliwa na Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan

F) UTEUZI WA MAJAJI WA MAHAKAMA KUU

1. Bw. Nehemia Ernest Mandia ameteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania. Kabla ya uteuzi, Bw. Mandia alikuwa Msaidizi wa Rais, Sheria;

2. Bw. Projestus Rweyongeza Kahyoza ameteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania. Kabla ya uteuzi, Bw. Kahyoza alikuwa Naibu Msajili Mwandamizi wa Masijala Kuu ya Mahakama Kuu, Dodoma; na
 
3. Bi. Mariam Mchomba Omary ameteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania. Kabla ya uteuzi, Bi. Omary alikuwa Naibu Msajili Mfawidhi wa Mahakama Kuu, Kanda ya Arusha.Endelea kusoma hapa》》》

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news