Makamu wa Rais ndani ya banda la TMA katika Siku ya Mazingira Duniani

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisikiliza maelezo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA), Dkt. Ladislaus Chang’a kuhusu maboresho yaliyofanywa katika taasisi hiyo yanayowezesha utabiri sahihi wakati akikagua mabanda ya maonesho katika Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani yaliyofanyika Kitaifa katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete Dodoma tarehe 05 Juni 2024.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news