Ofisi ya Msajili wa Hazina yampa kongole Thobias Makoba

DAR-Ofisi ya Msajili wa Hazina imempongeza ndugu Thobias Makoba kwa kuaminiwa na kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt.Samia Suluhu Hassan kuwa, Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali.
Kabla ya uteuzi, Bw. Makoba alikuwa Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Ofisi ya Msajili wa Hazina.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news