Rais Dkt.Samia ateta na Rais wa Jamhuri ya Korea

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Korea Mhe. Yoon Suk Yeol mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Nchi hiyo iliyopo Seoul kwa ajili ya mazungumzo na kushuhudia hafla ya utiaji saini Mikataba mbalimbali tarehe 02 Juni, 2024.
Shamrashamra za Mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Ikulu ya Nchi ya Jamhuri ya Korea Jijini Seoul tarehe 02 Juni, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo Rasmi na Rais wa Jamhuri ya Korea Mhe. Yoon Suk Yeol katika Ikulu ya Nchi hiyo iliyopo Seoul tarehe 02 Juni, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Korea Mhe. Yoon Suk Yeol kabla ya kushuhudia hafla ya utiaji saini Mikataba mbalimbali baina ya nchi mbili kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Seoul tarehe 02 Juni, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Jamhuri ya Korea iliyopo Jijini Seoul tarehe 02 Juni, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Korea Mhe. Yoon Suk Yeol kabla ya kuanza mazungumzo yao katika Ikulu ya Nchi hiyo iliyopo Seoul tarehe 02 Juni, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Korea Mhe. Yoon Suk Yeol mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Nchi hiyo iliyopo Seoul kwa ajili ya mazungumzo na kushuhudia hafla ya utiaji saini Mikataba mbalimbali tarehe 02 Juni, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Korea Mhe. Yoon Suk Yeol mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Nchi hiyo iliyopo Seoul kwa ajili ya mazungumzo na kushuhudia hafla ya utiaji saini Mikataba mbalimbali tarehe 02 Juni, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Korea Mhe. Yoon Suk Yeol katika Ikulu ya Nchi hiyo iliyopo Seoul tarehe 02 Juni, 2024.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news