Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Kampuni ya Gesi ya Korea (KOGAS),Bi. Yeon-Hye Choi kabla ya kuanza mazungumzo yao Jijini Seoul Jamhuri ya Korea.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Kampuni ya Gesi ya Korea (KOGAS),Bi. Yeon-Hye Choi mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Jijini Seoul Jamhuri ya Korea.