Rais Dkt.Samia akutana na uongozi wa POSCO International

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Ujumbe wa Kampuni ya Kimataifa ya POSCO International pamoja na viongozi wao Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea tarehe 03 Juni, 2024. Kampuni hiyo imewekeza katika uchimbaji wa Madini ya Kinywe katika Mgodi wa Mahenge Graphite ambao ni mradi mkubwa wa pili Kidunia wa Madini hayo. Ujumbe huo Umeongozwa na Mwenyekiti na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni hiyo Bw. Ghang In-Hwa, Rais wa POSCO Kye-in Lee pamoja na Wajumbe wengine wa kampuni hiyo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya POSCO International inayowekeza kwenye Uchimbaji wa Mradi wa Madini wa Mgodi wa Mahenge Graphite ambao ni mradi mkubwa wa pili Kidunia wa Madini hayo. Ujumbe huo Umeongozwa na Mwenyekiti na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni hiyo Bw. Ghang In-Hwa. Mazungumzo hayo yamefanyika Jijini Seoul Jamhuri ya Korea tarehe 03 Juni 2024.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news