Rais Dkt.Samia ampokea Rais Umaro Sissoco Embaló

DAR-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt.Samia Suluhu Hassan leo Juni 22,2024 Ikulu jijini Dar es Salaam amempokea Rais wa Jamhuri ya Guinea-Bissau, Mheshimiwa Umaro Sissoco Embaló ambaye yupo nchini kwa ziara ya kikazi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpokea Rais wa Jamhuri ya Guinea-Bissau, Mhe. Umaro Sissoco Embaló leo tarehe 22 Juni, 2024 Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais Embaló yuko nchini kwa ziara ya kikazi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Guinea-Bissau Mhe. Umaro Sissoco Embaló zawadi ya vitabu vya Lugha ya Kiswahili mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 22 Juni, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Guinea-Bissau Mhe. Umaro Sissoco Embaló, Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 22 Juni, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Guinea-Bissau Mhe. Umaro Sissoco Embaló akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 22 Juni, 2024.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news