Rais Dkt.Samia ana kwa ana na wamiliki wakubwa wa kampuni za Korea

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wawekezaji na Wamiliki Wakubwa wa Kampuni za Korea wakati wa hafla maalum ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na Wamiliki hao jijini Seoul, tarehe 2 Juni, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia picha maarufu zenye taswira yake muda mfupi kabla ya kuanza kwa kikao maalum na Wawekezaji na Wamiliki Wakubwa wa Kampuni za Korea wakati wa hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na Wamiliki hao jijini Seoul, tarehe 2 Juni, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipiga makofi kuashiria kukubaliana na jambo wakati wa kikao maalum cha kazi kilichoambatana na hafla maalum ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na Wawekezaji na Wamiliki Wakubwa wa Kampuni za Korea, tarehe 2 Juni, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Ujumbe wake wakati wa mazungumzo na Wawekezaji na Wamiliki Wakubwa wa Kampuni za Korea. Mazungumzo hayo yaliambatana na hafla maalum ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na Wamiliki hao jijini Seoul, tarehe 2 Juni, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Wawekezaji na Wamiliki Wakubwa wa Kampuni za Korea wakati wa hafla maalum ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na Wamiliki hao jijini Seoul, tarehe 2 Juni, 2024.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news