Rais Dkt.Samia arejea nchini baada ya kushuhudia uapisho wa Rais Cyril Ramaphosa

DAR-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt.Samia Suluhu Hassan jioni ya leo Juni 19,2024 amerejea nchini baada ya ziara ya kikazi ya siku moja nchini Afrika Kusini ambapo ameshiriki hafla ya uapisho wa Rais Cyril Ramaphosa leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiondoka katika uwanja wa Ndege wa Waterkloof Pretoria nchini Afrika Kusini mara baada ya kuhudhuria hafla ya Uapisho wa Rais wa nchi hiyo, Mhe. Cyril Ramaphosa iliofanyika Pretoria tarehe 19 Juni, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam mara baada ya kuhudhuria hafla ya Uapisho wa Rais wa Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa iliofanyika Pretoria tarehe 19 Juni, 2024.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news