DAR-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Kenan Laban Kihongosi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, kabla ya uteuzi huo Kihongosi alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Momba na anachukua nafasi ya Dkt. Yahaya Ismail Nawanda ambaye uteuzi wake umetenguliwa.