Rais Dkt.Samia ateta na Watayarishaji wa Filamu nchini Jamhuri ya Korea


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na watayarishaji maarufu wa Filamu wa Korea na Waandaaji wa Filamu wa Tanzania Jijini Seoul Jamhuri ya Korea wakati akiwa kwenye ziara rasmi ya kikazi tarehe 01 Juni, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Zawadi ya CD zenye baadhi ya Filamu zilizochezwa na Watayarishaji maarufu wa Jamhuri ya Korea mara baada ya kuzungumza nao Jijini Seoul tarehe 01 Juni, 2024. Mhe. Rais Samia yupo Jamhuri ya Korea kwa ajili ya ziara rasmi ya kikazi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na baadhi ya Watayarishaji maarufu wa Filamu wa Korea na Waandaaji wa Filamu wa Tanzania mara baada ya kukutana nao Jijini Seoul tarehe 01 Juni, 2024. Mhe. Rais Samia yupo Jamhuri ya Korea kwa ya ziara ya kikazi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Watayarishaji maarufu wa Filamu wa Jamhuri ya Korea na Waandaaji wa Filamu wa Tanzania mara baada ya kuzungumza nao Jijini Seoul tarehe 01 Juni, 2024. Mhe. Rais Samia yupo Jamhuri ya Korea kwa ya ziara ya kikazi.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news