Rais Dkt.Samia azungumza na Watanzania wanaoishi Jamhuri ya Korea

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na mmoja wa Watoto waliokuwepo kwenye mkutano na Watanzania waishio Jamhuri ya Korea tarehe 05 Juni,2024

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Watanzania wanaoishi Jamhuri ya Korea (Diaspora) kwenye Mkutano uliofanyika katika Hoteli ya JW Marriott Jijini Seoul tarehe 05 Juni,2024.

Baadhi ya Watanzania wanaoishi Jamhuri ya Korea (Diaspora) wakiwa kwenye Mkutano na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan uliofanyika katika Hoteli ya JW Marriott Jijini Seoul tarehe 05 Juni,2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Watoto waliokuwepo kwenye mkutano na Watanzania waishio Jamhuri ya Korea tarehe 05 Juni,2024
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan uliofanyika katika Hoteli ya JW Marriott Jijini Seoul tarehe 05 Juni,2024.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news