Rais Dkt.Samia,Umaro wateta

DAR-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mheshimiwa Dkt.Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Jamhuri ya Guinea-Bissau,Umaro Sissoco Embaló wameongoza wajumbe wa pande zote mbili kushiriki mazungumzo ya pamoja leo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo Rasmi na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Guinea-Bissau Mhe. Umaro Sissoco Embaló aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 22 Juni, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Guinea-Bissau Mhe. Umaro Sissoco Embaló akiongoza ujumbe wa Nchi yake kwenye mazungumzo Rasmi na ujumbe wa Tanzania ulioongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 22 Juni, 2024.
Wajumbe walioongozana na Rais wa Jamhuri ya Guinea-Bissau, Mhe. Umaro Sissoco Embaló ukiwa kwenye mazungumzo rasmi na ujumbe wa Tanzania ulioongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 22 Juni, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo Rasmi na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Guinea-Bissau Mhe. Umaro Sissoco Embaló aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 22 Juni, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo Rasmi na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Guinea-Bissau Mhe. Umaro Sissoco Embaló aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 22 Juni, 2024.
Wajumbe walioongozana na Rais wa Jamhuri ya Guinea-Bissau, Mhe. Umaro Sissoco Embaló ukiwa kwenye mazungumzo rasmi na ujumbe wa Tanzania ulioongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 22 Juni, 2024.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news