Rais wa FEMATA,wadau watembelea banda la Tume ya Madini

Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Madini Tanzania (FEMATA), John Bina pamoja na wadau wengine wametembelea banda la Tume ya Madini, kwenye Wiki ya Maonesho ya Madini inayoambatana na Kongamano la Wachimbaji wa Madini yanayoendelea katika viwanja vya Jakaya Kikwete, leo Juni 24, 2024 Dodoma.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news