Salamu za Sikukuu ya Eid Al Adha kutoka taasisi,wizara,mashirika na wadau mbalimbali nchini


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Dua ya pamoja na Waumini wa Dini ya Kiislam mara baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Al Adha iliyosaliwa katika Msikiti wa Mikocheni kwa Warioba jijini Dar es Salaam leo Juni 17, 2024. DIRAMAKINI tunawatakia Waislamu na Watanzania wote siku kuu njema.










Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news