Simba SC yatangaza ajira Mkurugenzi wa Wanachama


Klabu ya Simba imetangaza nafasi ya Mkurugenzi wa Wanachama. Akizungumza kuhusu nafasi hii Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Imani Kajula amesema, “Hii ni nafasi muhimu sana katika klabu yetu hivyo tunakaribisha waombaji wenye vigezo vilivyotajwa hapo juu kuleta maombi yao ndani ya muda uliopangwa.

"Tumedhamiria kuimarisha Idara ya Wanachama na Mashabiki ili kuwapa Wanachama wetu huduma bora, kusogea karibu yao na kuboresha uandikishaji wanachama baada ya Katiba ya Simba kuondoa ukomo wa namba ya Wanachama.”

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news