Tanzania itaendelea kuwa mshirika muhimu,kimkakati na Italia-Waziri Mkuu

DAR-Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Juni 09, 2024 amefanya mazungumzo na Balozi wa Italia Nchini Tanzania Balozi Marco Lombardi ambaye amemaliza muda wake, Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu Magogoni jijini Dar es Es Salaam.
Katika mazungumzo hayo Waziri Mkuu amesema Tanzania itaendelea kuwa mshirika muhimu na wa kimkakati wa nchi ya Italia.
Kwa upande wake Balozi Lombardi amesema licha ya kumaliza muda wake kama Balozi wa Italia nchini Tanzania, bado ataendelea kuisemea Tanzania na kuwa mhamasishaji wa fursa zilizopo nchini nchini.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news