TANZIA:Brigedia Jenerali Vitalis Andrew Chakila afariki

NA GODFREY NNKO

MKUU wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania,Jenerali John Mkunda ametangaza kifo cha Brigedia Jenerali Vitalis Andrew Chakila kilichotokea Juni 23, 2024.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Juni 25, 2024 na Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano wa Jeshi la Wananchi la Ulinzi wa Tanzania, Luteni Kanali Gaudetius Gervas Ilonda.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, heshima za mwisho kwa marehemu zitatolewa Juni 26, 2024 makao maku ya Jeshi Msalato jijini Dodoma majira ya saa tano asubuhi na baadaye kusafirishwa kuelekea Kahama mkoani Shinyanga kwa maziko yatakayofanyika Juni 27, 2024,

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news