TradeMark Africa (TMA) yaahidi ushirikiano zaidi kwa Tanzania

NA SAIDINA MSANGI

NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bi. Amina Khamis Shaaban ameongoza Mkutano wa 47 wa Kamati Tendaji ya Kitaifa (National Oversight Committee -NOC) inayosimamia utekelezaji wa miradi ya kuwezesha na kuboresha mazingira ya biashara nchini kwa ufadhili wa TradeMark Africa (TMA), kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Natu El- maamry Mwamba.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bi. Amina Khamis Shaaban, na Mkurugenzi Mkazi wa TradeMark Africa (TMA), Bw. Elibariki Shammy, wakifuatilia mawasilisho wakati wa Mkutano wa 47 wa Kamati Tendaji ya Kitaifa (National Oversight Committee -NOC) inayosimamia utekelezaji wa miradi ya kuwezesha na kuboresha mazingira ya biashara nchini kwa ufadhili wa TradeMark Africa (TMA), jijini Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bi. Amina Khamis Shaaban, akiongoza Mkutano wa 47 wa Kamati Tendaji ya Kitaifa (National Oversight Committee -NOC) inayosimamia utekelezaji wa miradi ya kuwezesha na kuboresha mazingira ya biashara nchini kwa ufadhili wa TradeMark Africa (TMA), kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Natu El- maamry Mwamba, jijini Dodoma.
Kamishna Msaidizi Idara ya Madeni Wizara ya Fedha Bw. Nuru Ndile, akipitia nyaraka wakati wa Mkutano wa 47 wa Kamati Tendaji ya Kitaifa (National Oversight Committee -NOC) inayosimamia utekelezaji wa miradi ya kuwezesha na kuboresha mazingira ya biashara nchini kwa ufadhili wa TradeMark Africa (TMA), jijini Dodoma.
Baadhi ya Washiriki wakifuatilia mawasilisho wakati wa Mkutano wa 47 wa Kamati Tendaji ya Kitaifa (National Oversight Committee -NOC) inayosimamia utekelezaji wa miradi ya kuwezesha na kuboresha mazingira ya biashara nchini kwa ufadhili wa TradeMark Africa (TMA), jijini Dodoma.
Mkurugenzi Mkazi wa TradeMark Africa (TMA), Bw. Elibariki Shammy, akitoa ufafanuzi wa taarifa ya utekelezaji wa miradi ya TMA kwa mwaka 2023/2024 katika Mkutano wa 47 wa Kamati Tendaji ya Kitaifa (National Oversight Committee -NOC) inayosimamia utekelezaji wa miradi ya kuwezesha na kuboresha mazingira ya biashara nchini kwa ufadhili wa Trademark Africa (TMA), jijini Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bi. Amina Khamis Shaaban, na Mkurugenzi Mkazi wa TradeMark Africa (TMA), Bw. Elibariki Shammy, wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe kutoka taasisi mbalimbali zinazotekeleza miradi inayofadhiliwa na TMA baada ya kuhitimisha Mkutano wa 47 wa Kamati Tendaji ya Kitaifa (National Oversight Committee -NOC), jijini Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bi. Amina Khamis Shaaban, na Mkurugenzi Mkazi wa TradeMark Africa (TMA), Bw. Elibariki Shammy, wakiwa katika picha ya pamoja na Wafadhili na watumishi wa TMA baada ya kuhitimisha Mkutano wa 47 wa Kamati Tendaji ya Kitaifa (National Oversight Committee -NOC) inayosimamia utekelezaji wa miradi ya kuwezesha na kuboresha mazingira ya biashara nchini kwa ufadhili wa TradeMark Africa (TMA), jijini Dodoma.

Mkutano huo umeidhinisha bajeti ya mwaka 2024/2025 kiasi cha dola za Marekani milion 7.1 ambayo itatekeleza miradi mbalimbali inayolenga kuongeza ufanisi wa biashara nchini na ukanda kwa ujumla ikiwa ni pamoja na kujenga uwezo kwa vijana na wanawake katika kufanya biashara hususan katika Eneo Huru la Biashara Barani Afrika (AfCFTA).
Baadhi ya washiriki wakifuatilia mawasilisho wakati wa Mkutano wa 47 wa Kamati Tendaji ya Kitaifa (National Oversight Committee -NOC) inayosimamia utekelezaji wa miradi ya kuwezesha na kuboresha mazingira ya biashara nchini kwa ufadhili wa TradeMark Africa (TMA), jijini Dodoma.
Meneja wa Programu ya TradeMark Africa (TMA), Bw. Solomon Michael, akitoa ufafanuzi wa taarifa ya utekelezaji wa miradi ya TMA kwa mwaka 2023/2024 katika Mkutano wa 47 wa Kamati Tendaji ya Kitaifa (National Oversight Committee -NOC) inayosimamia utekelezaji wa miradi ya kuwezesha na kuboresha mazingira ya biashara nchini kwa ufadhili wa TradeMark Africa (TMA), jijini Dodoma.

Mkutano huo pia umepokea na kujadili taarifa ya utekelezaji wa miradi ya TMA kwa mwaka 2023/2024 ambapo ilibainishwa kuwa kwa kipindi cha Julai 2023 - Juni 2024, miongoni mwa mafanikio ni kukamilika kwa Sera ya Biashara (National Trade Policy) ambayo itazinduliwa tareh 11 Julai 2024.
Afisa Biashara Mwandamizi Wizara ya Viwanda na Biashara, Bw. Mpanduji Marthias na Afisa kutoka Trade Mark Afrika Bi. Kezia Mbwamba, wakipitia nyaraka wakati wa Mkutano wa 47 wa Kamati Tendaji ya Kitaifa (National Oversight Committee -NOC) inayosimamia utekelezaji wa miradi ya kuwezesha na kuboresha mazingira ya biashara nchini kwa ufadhili wa TradeMark Africa (TMA), jijini Dodoma.(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF- Dodoma).

Mafanikio mengine ni kukamilika na kuzinduliwa kwa Mfumo wa Kieletronic wa Uwekezaji (Tanzania Investement Single Window System) ambao unawezesha wawekezaji kuomba vibali vya uwekezaji kwa njia ya mtandao.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news