Tuzo kwa mabondia bora 2024


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpa tuzo ya Mwanamichezo Bora wa Kike Bondia Grace Mwakamele wakati wa Hafla ya Utoaji wa Tuzo za Pili (2) za Baraza la Michezo la Taifa kwa Wanamichezo Bora wa Mwaka 2024, kwenye ukumbi wa The Super Dome Masaki Jijini Dar es Salaam Juni 09, 2024.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpa tuzo ya Mwanamichezo Bora wa Kiume Bondia Yusuf Lucas Changarawe wakati wa Hafla ya Utoaji wa Tuzo za Pili (2) za Baraza la Michezo la Taifa kwa Wanamichezo Bora wa Mwaka 2024, kwenye ukumbi wa The Super Dome Masaki Jijini Dar es Salaam Juni 09, 2024.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news