"Kama kuna jambo haliwezekani waelezeni wananchi, siyo kuwapa ahadi hewa,"Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akizungumza katika Uzinduzi wa Taarifa za Utendaji katika Sekta ya Nishati kwa Mwaka 2022/23 iliyofanyika Juni 14, 2024 jijini Dodoma.