"Wananchi wa Mtwara na Lindi inapotoka gesi iwanufaishe, nasema haiwezekani lazima wanufaike nayo,"Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akizungumza katika Uzinduzi wa Taarifa za Utendaji katika Sekta ya Nishati kwa Mwaka 2022/23 tarehe 14 Juni, 2024 jijini Dodoma.