VIDEO:Makala,TANROADS inavyozidi kuupendezesha Mkoa wa Kagera

KAGERA-Makala hii inaangazia mafanikio ya Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) mkoani Kagera, mkoa ambao unasimamia mtandao wa barabara wenye urefu wa kilomita 1,966.29 ambapo kati ya hizo barabara kuu ni kilomita 861.59, barabara za mkoa ni kilomita 1,053.75 na barabara za wilaya ni kilomita 50.95.
Kama unavyofahamu, licha ya TANROADS kusimamia matengenezo ya barabara na madaraja, katika kipindi cha miaka mitatu Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt.Samia Suluhu Hassan imeendelea kutoa fedha kwa ajili ya miradi ya kimkakati ambayo utekelezaji wake upo kwenye hatua mbalimbali na jumla ya miradi hiyo inagharimu shilingi bilioni 431.474.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news