VIDEO:Msiogope kulaumiwa,sekta binafsi...


"Msiogope kulaumiwa, sekta binafsi siyo ya watu wajanja wanjanja, changamkieni fursa zilizopo Sekta ya Nishati," Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akizungumza katika Uzinduzi wa Taarifa za Utendaji katika Sekta ya Nishati kwa Mwaka 2022/23 leo Juni 14, 2024 jijini Dodoma.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news