VIDEO:NHIF yatoa huduma za papo kwa papo, Eliud awaacha hoi watu

DAR-Ofisi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Kinondoni imeendelea na utoaji wa elimu kwa wananchi wanaofika katika banda la elimu, usajili na upimaji afya katika viwanja vya Mlimani City, Dar es Salaam. Zoezi hili linaendelea hadi Juni 24, 2024.
Katika zoezi hilo, mchekeshaji Eliud Samwel Mwakasege amehimiza Watanzania kujiunga na NHIF ili kuweza kunufaika na huduma za uhakika za matibabu popote walipo nchini.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news