VIDEO:Serikali yasitisha zoezi la ukaguzi wa risiti Kariakoo

DODOMA-Serikali imesitisha zoezi la ukaguzi wa Risiti za Kielekroniki (EFD) na ritani za kodi lililokuwa likifanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kupitia Mkoa wa Kikodi wa Kariakoo jijini Dar es Salaam.
Uamuzi huo umefikiwa wakati ukiandaliwa utaratibu mzuri wa utekelezaji wa suala hilo katika Soko Kuu la Kimataifa la Kariakoo jijini humo.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Mhe. Prof. Kitila Mkumbo ameyasema hayo leo Juni 24,2024 kwa niaba ya Serikali wakati akitoa maazimio ya kikao kati ya viongozi wa wafanyabiashara nchini.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news