Waziri Mkuu akutana na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CPC

DAR-Waziri Kassim Majaliwa leo Juni 21, 2024 amekutana na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China na Katibu wa Kamati ya CPC Jimbo la Shanxi nchini China.Katika mazungumzo yao ambayo yamefanyika kwenye Ofisi ndogo za Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam, Mheshimiwa Majaliwa ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa amesema kuwa, Tanzania itaendeleza mahusiano na China kwenye maeneo ya Siasa, Kijami na Kiuchumi.
Kwa upande wa Chama cha Mapinduzi kiliwakilishwa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Idara ya Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (MCC) Ndugu. Rabia Abdalla Hamid.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news