HomeHabari Waziri Mkuu katika Tuzo za Wanamichezo Bora 2024 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewasili kwenye ukumbi wa ‘The Super Dom’ ambapo atakuwa Mgeni Rasmi katika Hafla ya Tuzo za Pili (2) za Baraza la Michezo la Taifa (BMT) kwa Wanamichezo Bora wa Mwaka 2024.📍Masaki-Dar es Salaam🗓️Juni 09, 2024 Tags Habari Ofisi ya Waziri Mkuu Picha Picha Chaguo la Mhariri Facebook Twitter