Waziri Mkuu mgeni rasmi sala ya Eid na Bara la Eid Kitaifa

DAR-Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Juni 17, 2024 ameswali sala ya Idd El-Adh’haa katika Msikiti wa Mfalme Mohamed VI BAKWATA, Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Pia Mheshimiwa Majaliwa amekuwa mgeni rasmi kwenye hafla ya Baraza la Kitaifa lililofanyika katika msikiti huo baada ya kumaliza sala ya Idd.

Baadhi ya viongozi wengine walioshiriki sala hiyo pamoja na baraza la Idd ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa, Naibu Waziri wa Fedha, Hamad Hassan Chande na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news