Zoezi la Usajili wa Jumuiya katika Mkoa wa Mbeya kuanzia Julai 1 hadi 5,2024
DODOMA-Ofisi ya Msajili wa Jumuiya, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi itaendesha zoezi la usajili wa jumuiya ikiwemo vyama na vikundi vya kiuchumi, kitamaduni, kitaaluma na kijamii vilivyopo katika Jiji la Mbeya;