Balozi Dkt.Nchimbi ndani ya Lindi

LINDI-Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza na wanachama na viongozi wa ngazi mbalimbali wa CCM katika Ukumbi wa Kagwa, Lindi mjini.
Kabla ya mkutano huo wa ndani, Katibu Mkuu na msafara wake, walioko katika ziara mikoa ya Mtwara na Lindi, alipokelewa rasmi kwa kuvalishwa skafu na kufanya Kikao cha Kamati ya Siasa ya Mkoa wa Lindi, katika Ofisi za CCM mkoani humo.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news