DCEA,TAKUKURU watoa elimu kuhusu dawa za kulevya na rushwa Shule ya Msingi Swaswa

DODOMA-Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) Kanda ya Kati kwa kushirikiana na maafisa wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Dodoma wamezindua klabu ya kupinga rushwa na kupambana dawa za kulevya katika Shule ya Msingi Swaswa iliyopo mkoani Dodoma.
Wanafunzi zaidi ya 250 na walimu tisa wamepewa elimu pamoja na kukabidhiwa Mwongozo wa Utoaji Elimu kuhusu Tatizo la Dawa za Kulevya nchini.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news