DAR-Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko anazindua Kitabu kinachozungumzia masuala ya maadili "Mmomonyoko wa Maadili Nani Alaumiwe?," kilichondikwa na Mhe. Dkt. Abubakar Zubeir Bin Ally Mbwana, Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania.
Hafla ya uzinduzi inafanyika BAKWATA Makao Makuu, Julai 3, 2024 Jijini Dar es Salaam.