DODOMA-Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu),Dkt. Jim Yonazi leo Julai 16,2024 jijini Dodoma ameongoza Kikao cha Kamati ya Usimamizi cha Programu ya Kuendeleza Kilimo na Uvuvi (AFDP).
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi akiongoza Kikao cha Kamati ya Usimamizi cha Programu ya Kuendeleza Kilimo na Uvuvi (AFDP) kilichohusisha Makatibu Wakuu, Wakuu wa Taasisi na Wataalam wa Wizara na Taasisi zinazotekeleza programu hiyo leo Julai 16, 2024 jijini Dodoma.